Home Dashboard Post Ad Messages Profile

ANKLE SUPPORT Adjustable Ankle Brace

Tathmini (0)
0 0 391
TSh22,200
Katika Hisa
H1X2O18C95
  1-3 days
  Estimated Delivery:
 
Shiriki: 

? Kinga na msaada imara wa kifundo cha mguu

? Inafaa mguu wa kulia au wa kushoto

? Inabana kulingana na hitaji (Adjustable)

? Bei: TZS 20,000 tu

Inasaidia kwa: ✔ Maumivu ya kifundo cha mguu

✔ Sprain na kuumia ghafla

✔ Kuzuia kuumia tena

✔ Michezo, kazi nzito na kutembea muda mrefu

Faida zake: ✔ Hutoa uthabiti (stability) wa mguu

✔ Compression nzuri bila kubana sana

✔ Nyepesi – inavaa hata ndani ya kiatu

✔ Rahisi kuvaa na kuvua

Jinsi ya kutumia:

Vaa ankle support kwenye kifundo cha mguu, funga mikanda kwa kuvuka (X) kisha rekebisha mkazo kulingana na unavyohitaji.

Aina ya Tangazo Biashara
Hali Mpya
Bei iliyowekwa Fixed
Gharama ya Usafirishaji
Usafirishaji 1-3 days
Mahali pa Bidhaa Mnazi Mmoja 0255, Dar es Salaam, Tanzania

Hakuna Tathmini iliopatikana!

Hakuna maoni yaliyopatikana kwa bidhaa hii. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!

Tovuti hii inatumia vidakuzi. Kwa kuendelea kutumia tovuti unakubaliana na matumizi yetu ya vidakuzi.