MOOYAM RETINOL FACE CREAM 50g
(2.5% Retinol + Hyaluronic Acid – 50g)
? BEI: TZS 30,000
✨ Punguza mikunjo, mabaka na ukavu wa ngozi – rudisha mwonekano wa ujana!
Faida za bidhaa
✓ Kupunguza mikunjo na mistari ya uso
✓ Kuboresha ngozi iliyochoka na kuzeeka
✓ Kupunguza mabaka meusi & makovu madogo
✓ Kuongeza unyevu na kuacha ngozi laini
✓ Kutoa mwanga wa asili (glow)
Jinsi ya Kutumia
Pakaa usiku kwenye uso ulio safi
Tumia mara 3–4 kwa wiki mwanzoni
Epuka jua bila sunscreen
Tumia kiasi kidogo kwenye maeneo yenye mikunjo au mabaka
| Type of Listing | Business |
| Brand | MOOYAM |
| Indicated Price is | Fixed |
| Shipping Cost |
|
| Shipping | 1-3 days |
| Product Location | Mnazi mmoja 255, Dar es Salaam, Tanzania |
No reviews found!
English
Kiswahili
No comments found for this product. Be the first to comment!